Gauni fupi lamfanya Ciara Aoneshe Ki Chup* chake Jana, Angalia picha zaidi.


Hivi vivazi vya Mastaa vyazidi kuwaweka Pabaya, Jumanne ya Jana kimeshuhudiwa kioja kingine baada ya Mwanamuziki Ciara kuvaa gauni la ajabu ambalo lilimfanya Chup* yake kuwa nje.

Kweli alikaa lakini sasa mkao wenyewe ndo kama unavyojionea mwenyewe hapo, hatari tupu.