Iggy Azalea Avaa gauni la Aibu na ka Chup* ndani


Rapper kutoka Australia, Iggy Azaela alivaa gauni hili, refu ambalo lilionekana kioja cha aina yake kwani kila mara  KUFULI ndani ilibaki nje katika MTV EMAS huko Amsterdam na kufanya apate shida sana na kivazi hicho kwani mara nyingi Sehemu zake za Ikulu zilikuwa Wazi.