Mapenzi Upofu, Jamaa ajiopolea Toto la Kizungu
Waliosema Uzuri wa Mtu huonekana machoni kwa Ampendaye hawakukosea, Pichani ni Jamaa mwenye asili ya Kiafrika akichekelea zali la kuopoa mtoto mkali wa kizungu huku akifurahishwa na Mapendo ya binti huyo kwake kiasi cha kuweka hisia zake hadharani.
‹
›
Home
View web version