KULIKONI KUWE NA TAREHE YA MWISHO ILE HALI KILA KUKICHA WATU WANATIMIZA MIAKA 18?


Ni mtazamo wa wengi wetu kuhusiana na suala la vitambulisho vya uraia nchini, Kipanya ametuwekea kwa lugha ya picha.

Image Credit: Kipanya.