Ommy Dimpoz anunua gari la zaidi ya Mil 20, Angalia picha zaidi hapa.
Ni picha ambazo Ommy Dimpoz amezitoa Exlcusive kwa millardayo.com na AyoTV la hii Mark X aliyoiagiza kutoka Japan kwa gharama isiyopungua milioni 30 za Kitanzania, kuna video yake inakuja on AyoTV na itapatikana hapa millardayo.com pia
Ommy Dimpoz mara nyingi amekua mtu wa kutopenda kutangaza mali zake ila Camera za AyoTV na millardayo.com zilikutana nae Jaffarai Car wash Mikocheni Dar es salaam na kumuomba kupata pichaz, aliruhusu iwe hivyo kwa mtu wa nguvu ndio maana hizi picha zikafika hapa.
Anakwambia pesa yote iliyotumika kulinunua hili gani ni pesa iliyotokana na muziki peke yake, muziki wa bongofleva anaoufanya Ommy……. ili kupata pichaz nyingine za Exclusive pamoja na video, pia taarifa nyingine mbalimbali.
Credit: Millard Ayo.
Posted by
Unknown

Related Articles
- PICHA YA KIPEKEE YA MZEE MANDELA NA MOHAMMED ALLY
- CHAPA NYINGINE" YA KWAKE CHEGGE HII HAPA
- FIFA Yazindua Aina Mpira Utakaotumika Kwenye Kombe la Dunia 2014 Uitwao ‘Brazuca’
- CECAFA Challenge:MBWANA SAMATA NA THOMAS ULIMWENGU WAIPELEKA STARZ ROBO FAINALI
- Iskilize Hapa Single Mpya ya Abdu na Ally Kiba
- Ryan Gigs atimiza Miaka 40 leo, bado yupo yupo kwanza na Man U.
- Kiwanja cha Kombe la Dunia 2014 Brazil chaua watatu
- Angalia hapa Mambo yalivyokuwa katika Tuzo za "American Music Awards"
- Angalia picha zaidi ya 20 za matukio katika Show ya P square Dar