Diamond alivyowapagawisha mashabiki nchini China
Wakati ile movie ya Temptation iliozua Gumzo Jijini iliyowakutanisha tena Msanii wa muziki Diamond na Mcheza Filamu Wa Tanzania Wema Sepetu ambao waliwahi kuwa wapenzi ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa Diamond Na Wema Week End Hii diamond Amekua na Show Ya kukata na shoka huko Guangzhouhuku baadhi ya washabiki wakijiuliza mbona hawamuoni Maddam
Mkumbuke kuwa Maddam Na Diamond walikutana Hongkong na kwamba tayari Maddam amesharejea nchini, Labda show hiyo ni muendelezo wa Temptationambayo location yake kuwa inaonekana kuwa Nje ya Nchi.Cheki picha za show hiyo:-