Waiba Mafuta na Kuyaficha katika" Nyeti"

Tukio la aibu limewakuta wanawake wawili nchini Kenya, pale waliponaswa na camera za Supermarket moja wakiiba na kuficha Mafuta ya kupikia katika nyeti zao! Wanawake hao hawakujua kwamba kuna kamera za uangalizi ambazo huwekwa kwa tahadhari ya matukio kama hayo! Baada ya kufanya wizi huo na kujiandaa kutoka bila kulipa ndipo walipozungukwa na walinzi wa Supermarket hiyo baada ya kupata taarifa toka kwa mtu aliyekuwa katika chumba cha uangalizi kwamba wanawake hao wameiba vitu na kuvichimbia katika sehemu zao za siri! Hata sijui wangetembeaje maana ni sawa "Naniii" imeingia katika "nanii"

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger