Binti "Abakwa" kisha kupigwa picha na kurekodiwa
Mfanyakazi mmoja katika taasisi ya Elimu ya Petroli ya Warri huko Ghana amepatwa na mkasa wa maisha yake baada ya kutekwa na wanaume wawili kisha kupelekwa hotelini na kuanza kubakwa kwa zamu huku wakimpiga picha na kumrekodi. Baada ya kumaliza haja zao walimruhusu aende zake na ndipo alipokutana na wanajeshi wa eneo hilo na kuwapa taarifa. Wanajeshi hao walifanikiwa kuuweka mtego na kuwakamata watuhumiwa hao na watafikishwa mahakamani kukabili mashtaka yao.
-->
Angalia Video
-->
Angalia Video