"SIDAIWI" Chameleone

Msanii tajiri wa Uganda na Mliki wa Kampuni ya The Leone Island, Jose Chameleone amekanusha uvumi uloenea nchini humu kwamba eti ana madeni makubwa katika baadhi ya benki nchini humo, amesema kwamba kuna yeyote anamwenea wivu kijicho na hasa ukizingatia mafanikio aliyonayo kwa zaidi ya miaka kumi ukilinganisha na umri wake. Amesema katika page yake ya facebook kwamba " kunilaumu mimi kwa kushindwa kwako ni sawa na kuniambia upuuzi tu"

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger