"Mimi Siyo Shoga" Matt Damon


Matt Damon
Ben Afleck
Muigizaji mahiri wa Holly Wood, Matt Damon amekanusha uvumi unaoendelea kutapakaa kwamba yeye ni shoga huku akisema kwamba haoni kwamba ushoga ni ugonjwa mkubwa ambao hadi watu wanakaa kuwasema sema wenzao. Nyota huyo wa movie za The Bourne Identity, Adjustment Bureau na nyinginezo ameyasema hayo huku akitarajia kucheza movie kali inayompa kushiriki nafasi ya Ushoga! Huku Kukiwa na Uvumi huo baada ya kuonekana na Ben Afleck katika pozi la utata.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger