Mchungaji Atoa Mapepo Sehemu za $iri
Katika mtazamo wa haraka yawezekana ikaonekana kama mchezo wa kuigiza vile au Filamu, la, hii ni kweli imetokea huko pande za Nigeria ambapo kuna Mtumishi mmoja amekuwa akijipatia umaarufu kwa kuwatoa wanawake Mapepo kunako sehemu za $iri.
Pia baadhi ya watu walidiriki kwenda mbali na kusema ya kwamba hata kama una magonjwa ya ngozi au zina@ na yenyewe yanaponywa.