Angalia Jinsi Dencia Alivyolalamika Baada ya Kibiwa Pochi la Milioni 8 na zaidi ya Milioni 10 cash
Muimbaji huyo mwenye asili ya Africa Magharibi Amelalamikia hali ya kukosa amani iliyomfika mara baada ya kuvamiwa na vibaka akiwa Paris, Ufaransa na kumpora Channel Bag yake yenye thamani zaidi ya Milioni 8 za Kitanzania, Pesa Taslimu Tsh Milioni 9.8, miwani ya jua Tsh Laki 5 na vitu muimu vingiz ikiwemo credit cards na passport yake.
Angalia Tweet zake hapo chini