Picha ya Siku, Unaionaje? Kuna Ukweli ndani yake?



Matumizi ya Teknolojia na Mambo ya Utandawazi yamekuja na vibweka vya aina yake, kwa mfano siku hizi kuna kitu kinaitwa "Photo shop". Kwa kupitia Teknolojia hiyo picha yawezwa kuchezewa na kubadilishwa muonekano wake kwa mtazamo wa haraka au kama we si mjuzi na mtambuzi wa ujanja unaokuwa unafanyika.

Kwa kuangalia picha hiyo hapo juu yawezekana ikawa kweli ndio maumbile ya huyo mwanamke au si kweli ikawa ndio mambo ya Photo shop yenyewe.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger