Kanye West Amtandika Makonde Mwandishi wa Habari, Afunguliwa Mashtaka.
Mzazi mwenzie Kim Kardashian, Rapper Kanye West amejikuta katika matatizo tena baada ya kushambulia na kumuumiza mwandishi wa habari ambaye alikuwa anamzonga na maswali alipokuwa katika uwanja wa Ndege wa LA Marekani.
kutokana na maumivu aliyoyapata Mwandishi wa Habari huyo pamoja na udhalilishwaji aliokumbana nao tayari ameshamfungulia mashataka Rapper Huyo