MTOTO WA KIGOGO ATUPIA PICHA ZA UTATA MTANDAONI
Imekuwa ni jambo la kawaida na pengine linalochukua sura mpya kwa sasa kutokana na watoto wa vigogo kupiga picha tata yaani za uchi na kuzitundika katika mitando kana kwamba wanajiuza.
Nadani wadau mtakumbuka hapa nchini watoto wengi mastar mbali mbali wa kike wamekuwa na tabia hiyo ya kuanika miili yao katika mitandao haswa BBM na kujinadi kwa wanaume,sina haja ya kuwataja majina hapa maana ni uandikwa wameshaandikwa sana ila bado kila kukicha wanaibuka wengine.