ANGALI JINSI MWANAMITINDO HUYU ALIVYOVAA KATIKA RED CARPET


Ama kwa hakika Thamani ya Mwanamke inazidi kushuka kila leo kutoka na wanawake wenyewe kuzidi kubuni mbinu za kujidhalilisha na kujiweza wazi kila kukicha, Pichani ni miongoni mwa wanamitindo mwenye asili ya Kiafrica aliyeamua kutimba na kagauni kama hako ndani ya Red Carpet, Unahisi anajiskiaje au wewe kama mwanamke mwenzie au kama mwanaume unamtafsiri vipi?

Si kila linawezekana kufanyika kuhusiana na mitindo linafaa kuigwa au kufanywa, wasalam.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger