Kim na Kanye wanamtafuta Mtoto Mwingine
Kim Kardashian na Kanye West wanapanga kupata mtoto wa pili kuanzia majira ya joto yanayofata.
Ni kama miezi mitano toka Kim Kardashian alipojifungua mtoto wa kike aitwaye North West. Chanzo kimoja kinasema Kardashian, 33, na mchumba wake Kanye West, wako tayari kumpa mtoto wao mdogo, na wanapanga kutunga mimba kwenye majira ya joto hapo mwakani.