Bustani Ya Ngono Yaichafua Kenya
Kenya imejiweka katika taswira mbaya kimataifa baada ya picha zilizopigwa na polisi wake kama kithibitisho baada ya kuwakamata 'wagoni" katika bustani ya Masinde Muliro Huko kakamega, kuzagaa katika mitandao sehemu mbali mbali duniani na kuitafsiri nchi hiyo kama ni ya washenzi wanaopenda ngono.
Viongozi wa dini wakiongozwa na Bishop Olumasai waliweka kambi eneo hilo kufanya maombi na kulaani wale wote walookuwa wakihusika, polisi nchini humo iliingilia kati swala hilo ili kuiweka hali ya usalama katika pande hizo ambazo zilikuwa kivutio kikubwa cha watalii hasa ukizingatia kuwa pande hizo ndo anatokea mtu mzima Obama.