Picha 5 za "UTATA" zilizompa 'Kiki' Jesca Kikumbi, Mtoto wa King Kikii
Ingawa Yamesemwa mengi katika mitandao mbali mbali kuhusiana na kufumwa kwa picha hizo, ukweli ni kwamba picha hizo hazikufumwa bali ziliwekwa na mwenyewe katika Ukurasa wake wa Face Book, Jina ndo hilo we ingia utajionea picha nyingi zaida ya hizi nilizozipata mimi.
Hii ni dhahiri binti huyu, Jesca Kikumbi ambaye ni binti wa mwanamziki nguli nchini,King Kikii alikusudia kujipatia umaarufu wa fasta "Kiki" kama wasemavyo vijana wa mjini.