Mwanamke avamiwa na kundi la vijana kisha kuchaniwa nguo alizovaa!!

-->
Mkasa huo umempata dada mmoja ambaye alikuwa amevaa nguo fupi hasa sketi, na alipofika maeneo ya Kitengela Kenya, alivamiwa na kundi la vijana (wengi wao wakiwa ni wapiga debe) wakimsihi afanye utaratibu kuhusu nguo alizovaa kwani haziendani na maadili.

Baada ya dada huyo kuwapuuza, vijana hao walijichukulia sheria mkononi na kumvamia kisha kumchania nguo hizo huku wakisema bora awe uchi kwani alidhamiria kuwa uchi. Binti huyo alijibanza chini hadi alipotokea msamaria mwema na kumpa gauni refu, kisha akapanda pikipiki na kuondoka.

Angalia video hapa

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger