Kutana na Tilya, Mrembo wa Kitanzania Mpenzi wa Msanii wa Kundi La Bracket.
Tilya ni Msichana mwenye Asili ya Kitanzania, Mkazi wa Minneapolis, Minnesota Kikazi ni Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni yao na Pia ni Blogger.
Mwanadada huyu yupo katika uhusiano wa kimapenzi na Nwachukwu Ozioko, Maarufu kama Vast, Mmoja wa wasanii wanaounda kundi la Bracket, wazee wa "Yori Yori" So Shemejiii wetu huyu ni kama Alimdediketia dadaetu cjui kale ka wimbo kazuri cha Yori Yori?!!!