Polisi wakimbia Mtuhumiwa baada ya kubalika na kuwa NYANI!

Mtuhumiwa wa mauaji na ubakaji huku akiwa na rekodi ya kuwatoroka mara mbili polisi nchini Zimbabwe majuzi ametoa kali ya mwaka na kuwafanya mashuhuda na polisi waliomkamata kutimua mbio baada ya njemba hiyo kubadilika na kuwa nyani.Bwana Ndlovu alidakwa na wananchi wenye hasira katika eneo la tukio, na kwa kuwa walishachoka na vitendo vyake walitaka kumpa fundisho la maisha kwa kumchoma moto lakini kwa bahati nzuri, aliokolewa na polisi ambao waliamua kumchukua ili wampeleke kituoni, cha kushangaza sasa wakati wapo njiani walitahamaki polisi kujiona wamemkamata "NYANI" na njemba imeyayuka. Ndpo Polisi walipiga mayowe na kutimua mbio wao na Raia.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger