Hatiani kwa Picha ya Uchi ya Mugabe

Binti wa miaka 20, Shanteli Rusike, raia wa Zimbambwe Mkesha wa X Mass haukuwa mzuri kwake kwani alikamatwa na kuwekwa ndani kutokana na ku share picha inasemekana kumdhalilisha raisi wa nchi hiyo, Robert Mugabe. Tukio hilo lilimkuta binti huyo ambaye aliikuta picha hiyo katika mtandao na kuanza kuwasambazia rafiki zake ambao baadhi yao walikasirishwa na kitendo hicho na kuamua kumripoti polisi. Kesi yake ipo mahakamani na yupo nje kwa dhamana ya dola 100 za kimarekani. Miaka 5 iliyopita, kijana mwingine wa nchi hiyo alikutwa na picha kama hiyo na kutumikia miezi minne gerezani.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger