Wanaume wawili wafanya Shopping "Uchi"
Haikujulikana mara moja nini hasa ilikuwa dhamira yao baada ya Wanaume wawili walioonekana wazima kiafya na kiakili kuingia Super Market na kufanya Shopping zao huku wakiwa wamevaa "Chupi" Tu tena zenye rangi ya Kufanana.
Hii inafanana na ile tamaduni ya " No Pants Day" ya Huko Marekani na Ulaya ambapo kila tarehe 14/01 huadhimisha matukio hayo ambapo hutoka katika shughuli zao wakiwa na chupi au bukta tu.