Mwalimu afumwa akifanya Mapenzi na Mvulana wa Miaka 16.

Kukamatwa kwake kumesababishwa na Fumanizi la Mume wake ambaye alikuwa anafatilia nyendo zake, kupitia GPS ya simu yake aliweza kubaini alipo Mkewe na ndipo alipofika eneo la tukio akamkuta kabananishwa na kijana huyo.
Kwa sasa mwalimu huyo yupo nje kwa dhamana ya Shilingi Million 25 za kitanzania au $ 15,000/= Na kesi yake ipo mahakamani.