Oprah Awakuna Wabongo kwa Kuandika Chai katika Tweet yake ya Jumapili iliyopita.



Mtangazaji Maarufu Kutoka Marekani Oprah Winfrey ameonyesha kuikubali lugha ya Kiswahili baada ya kupost Picha Akiwa ameandaa Chai kwa ajili ya kiburudisho cha  siku ya juma pili.
Oprah aliandika kupitia ukurasa wake wa Insta Gram ” CHAI READY FOR #SUPERSOULSUNDAY  WITH @REALROBBELL ” Huku akionekana kushika kikombe cha Chai na tabasam kubwa kabisa

wpid-IMG_20131103_211516.jpg

Haya ndio maneno ya Oprah aliyopost Instagram
Oprah Aliwahi kutembelea Tanzania katika Mbuga ya wanyama ya Serengeti na kupata Kifungua kinywa kati kati ya Mbuga, huenda huko ndipo alipopata neno CHAI

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger