Juliet Ibrahim ndo Mwanamke Mzuri zaidi Africa Magharibi.
Muigizaji Mrembo kutoka Nchini Ghana, Juliet Ibrahim Amevikwa taji la Mwanamke Mzuri zaidi kwa kanda ya Africa Magharibi kwa mujibu wa Jarida la A-Listers la Niigeria. Ndani ya jarida hilo kuna makala maalumu ambapo Juliet amefunguka kuhusiana na vitu vingi ikiwemo Map3nzi, Nollywood, Familia, Mitindo na Muziki.
Angalia jinsi alivyopamba kava la mbele la Jarida Hilo.
.jpg)