50 cent Azinguana na mwanae, amtukana matusi ya nguoni na kudai vipimo vya kuhakiki ya kwamba yeye ni baba halali au!!
Wiki iliyopita, Mwanamuziki 50 Cent alikuwa na mzozo na mama wa mwanae Marquise kiasi cha kufikia kuharibu baadhi ya vitu vya ndani vya mwanamama huyo, wiki kuonesha hali imekuwa mbaya Rapper huyo amemvurumishia mvua ya matusi mtoto wake mwenye umri wa miaka 16 huku akidai ya kwamba anahisi si mwanawe kwani kipindi yupo na mama yake, mwanamke huyo alikuwa hajatulia.
Angalia vizuri majibizano yao katika picha hapo juu.
Angalia vizuri majibizano yao katika picha hapo juu.