Kim ana mimba ya Kanye West!!!

Hatimaye Hip Hop Legendary Kanye West amempachika mimba mpenzi wake wa Muda mrefu sasa bibie Kim Kardashian. Jana Mzee mzima West ametoa taarifa hizo mbele ya umati walipohudhuria concert jana na bibie Kim.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger