Body Guard wa Rihanna ateleza na Kumshika Z!wa Boss wake hadharani.
Katika hali isiyotarajiwa Mlinzi Binafsi wa Mwanamuziki Rihanna amejikuta akishikilia T!ti la mwimbaji badala ya bega lake katika harakati za kutekeleza majukumu yake ya kumlinda katikati ya purukushani ya mamia ya mashabiki.
Tukio hilo la aina yake liliweza kudakwa na kamera kama picha inavyojionesha hapo, hata hivyo huyu bi dada naye kazidi kukaa kihasara hasara ndo maana hata walinzi huona sawa tu kumshika popote pale.