Picha Chafu za Balozi Mpya wa Vijana Zazagaa Mtandaoni


Muimbaji, Adokiye Kyrian, 25, hivi karibuni aliteuliwa kuwa balozi wa vijana katika jimbo la Imo n Gavana Rochas Okorocha lakini kwa bahati mbaya siku chache baada ya uteuzi huo matukio yake ya nyuma na vijitabia vya ajabu vimekuja kumuwinda.

Imesemekana kuwa miezi michache iliyopita kabla Adokiye hatateuliwa kuwa Balozi wa vijana aliwahi kupiga picha za u2pu na sasa baada ya kuwa kiongozi wabaya wake wamezitoa hadharani.





Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger