Wolper akerwa na Wanaomchafua Katika Mitandao ya Kijamii.



Akionyesha kusikitishwa na kile kinachoendelea facebook, leo hii muigizaji bongo movie,Jackline Wolper ameanika maongezi yaliyokuwa yakiendelea katika akaunti ya Walper fake kupitia facebook ikionyesha chati iliyoonekana Walper akiomba sh 20,000 kwa ajili ya kununua umeme mara baada ya kukatiwa na umeme huku akifanya kazi zake kwenye computer.Tazama hapa chini..
  

Walper aliweka maongezi hayo yakiambatana na maneno haya kwa chini

wolpergambemashabiki zangu haya ndo mambo ya fc bk dah hvii kweli ndo wanavyonidhalilisha plz nisaidien ata kuamdika huko kwa fc bk zenu situmii jina lolote zaidi ta wolper gambe real .siyoo vzuri jamani muwe na roho ya huruma kdogo dah


Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger