Wow!! Angalia Beyonce Alivyotokelezea Kichwani Baada ya Kunasa Nywele katika Feni akiwa Katika Show!!!
Msanii wa R&B, Beyonce ameamua kubadilisha muonekano wa Nywele zake na kuzifupisha kidogo baada ya tukio la kunasa katika Feni alipokuwa akifanya Show ya "Halo" huko Montreal.
Tukio lililowafanya wasaidizi wake na Crew Members kuwahi kuzima feni hilo na kuzitoa nywele hizo huku mwenyewe akiendea Kuimba bila kupote na beat, Naiman sas hakinasi kitu.