Ndoa ya Msanii huyu bado inadunda pamoja na kuvuja kwa picha zake chafu.
Msanii Uche Iwuji kutoka Nollywood ametamba ya kwamba ndoa yake bado ipo imara regardless juhudi za wanaomponda na waliomchafua kwa mumewe kupitia picha zake za utata za zamani. Bado ndoa yao inadunda.
Mume wa Uche alipohojiwa kuhusiana na kuvunjika kwa ndoa yake alicheka na kusema kwa kuwa yupo busy na majukumu ya kikazi kwa sasa atatafuta muda wa kuongea na waandishi ili awazodoe hao wambea na wazushi.