Teja wa Movies za X
Tafiti zimeonesha achilia mbali uteja wa dawa za kulevya au pombe tuliouzoea, siku hizi umeibuka uteja wa kuangalia Sinema au picha za ng0n0. Hii imewaathiri watu wengi kiasi kwamba wanajikuta wanabadilisha matendo au ratiba zao za kila siku ili kujitengea muda na kuendeleza uteja wao huo. Nijambo ambalo mwanzoni mtu huona kama utani lakini baadae hufikia steji ya "Uteja" na hapo mtu anakuwa tayari kashaathirika. Tujichunge tusiwe hivyo!