Ukahaba "Sun City"
Katika eneo la ndani kwa walalahoi, huko maadili yanaonekana kufa kabisa kwani mwandishi wa jarida moja anaamua kuelekea huko kujionea yanayofanyika na hapo ndipo alipobaini machafu ya huko kwani mchana kweupe vijana huvuta bangi, kucheza kamari na madada kujiuza!--> Si hayo tu bali balaa huwa usiku kwana kuna ka night club ambacho watu huwa wanaangalia ngono, wadada kujiuza na machafu kufanyika! huko ni hatari tupu!