Teja "Lindsay Lohan" Ala Shavu

Mwanadada aliyeathirika na madawa ya kulevya huku akiwa kaanza tiba ya kuachana na matumizi ya madawa hayo ili kupona kabisa Msanii Lindsay Lohan amepata ofa ya kazi kutoka Ckub moja ya wacheza bila nguo huko Marekani ya kwamba atatakiwa awe anuhudumia mtandao upande wa kuchat online! bado mdada anatafakari ofa hiyo, kama atakubali itakuwa fursa nzuri kwake kuanza upya na kwa uzuri baada ya athari alizopata kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger