"Nimelala na Chriss Brown Hotelini" Ayem Nour

Ayem Nour
Nyota wa Ufaransa Ayem Nour, ametamba kwamba wiki iliyopita alilala na Chriss Brown katika chumba cha hotel Moja Nchini humo wakati jamaa alipoenda kupiga show! Huku akifurahia alichokifanya amesema kuwa aliyekuwa Mpenzi wa Chriss Brown Karrueche Tran alikuwepo lakini alimzidi ujanja. Watu wanasema huyo anauchokoza moto wa Rihanna ambaye ndo kwanza wamerudiana na Criss Brown!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger