"Khanga Moko" Hadi Ulaya

Kumbe lile kundi maarufu jijini Dar lenye tabia ya kunengua huku likiwa na ka kanga au kamtandio kamoja kina kundi mwenza huko Amerika ya Kusini ambapo tofauti na huku ambako washabiki huwa hawawakaribii madada wanenguaji huko Amerika ya kusini washabiki hupata wasaa haata wa kushika wadad hao! kama inavyoonekana katika picha!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger