Siku ya Kutembea na "Chupi"Duniani




-->







Kweli wazungu akilizao sawa na matope, kabisa mwisho wa mwaka jana waliadhimisha siku ya kukaa uchi duniani ambapo wanachama wanaoshereheke siku hiyo hutoka majumbani kwao na kuelekea katika pilika pilika za hapa na pale za uzalishaji mali au matembezi wakiwa nusu Uchi au na Chupi tu.
Kama itatokea ukimuuliza kulikoni atakujibu kuwa "zinambana, au maneneo ya kulingana na hayo kwa upole" pia katika ukurasa wao wa face book wamwsisitiza na kuzidi kuwaomba watu wajitokeze kwa wingi kushiriki matembezi hayo.
Pia baadhi ya Mashabiki wa Arsenal waliungana nao katika moja ya sehemu za mashabiki wa Club Hiyo.
Hamasa kubwa ilitolewa katika wasafiri wa Treni za Chini ya Ardi Maarufu kama Sub Ways.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger