Nick Minaj Atupia Picha ya Utata Instagram, azidi kumtesa Dj Khaled.
Mwanamuziki Nick Minaj, 30, amechia picha nyingine yenye utata katika Instagram, huku ikiwa imezificha sehemu za chuchu tu za Maziwa yake. Mbali na hayo msanii huyo alizidi kumtupa Dj Khaled ambaye wiki chache zukizopita alijitoa katika TV na Kumchumbia Rasmi, Tukio Lililo washangaza wengi.
Nick alisema kwamba Khaled ni Kaka yangu na hakuwa Serious na kile alichokifanya, acheni jamani alikuwa anatania tu, ilikuwa ni mbinu tu ya kujitangaza na Khaled anipendi kihivyo, wala hajawahi kuvutiwa na mimi.