Diva wa Clouds FM, Atupia Picha za Mapaja yake Instagram
Mtangazaji wa Ala za Roho, kupitia Clouds FM, Loveness Love au Diva, naye ameachia picha za Utata akionesha ni kiasi Mungu kamjaalia hasa upande wa Mapaja, Kupitia Akaunti yake ya Instagram amezitupia picha hizo na kuwaachia mashabiki waseme wenyewe. Vp wewe mshabiki wangu wamwonaje?
Sio kila siku tu anamwelezea Prezoo, Leo kaweka Paja anawaskilizia wadau mna lipi la kusema.