Baada ya Kumaliza Tofauti zao, Suma Lee na Cpwaa waja na Ngoma Mpya ya Parklane




Umezi-miss zile ngoma kama “Nafasi nyingine” na nyingine kutoka kwa Park Lane ya Suma Lee na Cpwaa? basi wakati ndio huu ambapo Swahili Gang ya Suma Lee na Brainstormusic ya Cpwaa kwa pamoja chini ya mwamvuli wa Park Lane wanakuja na ngoma inaitwa “Kila mtu na wake” ambayo soon itadondoka
560132_10202148071330863_1719053622_n

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger