Amuua Mwenzie Kisa " Mapishi"

Thomas Hahn, 55, Mkazi wa Florida Marekani ametiwa Hatiani kwa kosa la kummua mmoja kati ya Room mate wake 3, kisa ni ugomvi baina yao ulitokea baada ya kurudi maeneo wakiwa wamelewa na kulumbana kuhusu nani apike kitu cha "PORK CHOP" Njemba hasira zikampanda akaenda kulichukua Gobole lake na Kumfyatua nalo jamaa na kumsabibishia kifo chake.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger