Kanye West Avaa Sketi Stejini

Mzee Mzima Kanye West afanya balaa katika tamasha la juzi tarehe 12-12-12 la kukusanya fedha kwa ajili ya wahanga wa kimbunga nchini Marekani baada ya kutinga stejini akiwa na sketi ya Leather Matata! Baadhi ya Wadau wamesema jamaa alikurupuka na kuvamia droo la nguo za Mpenzi wake Kim Kardashian na kutimba nazo kwa Steji! Picha hiyo imemuongezea Tweets nyingi sana, na bado zinaendelea!

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger