Zaidi ya Watu 134 wafa kipindi cha Sikukuu Zimbabwe

Zaidi ya Watu 134 wamefariki katika kipindi hiki cha siku kuu na mwisho wa mwaka Nchini Zimbwabwe kutokana na ajali za barabarani. Idadi hiyo onaweza ongezeka kutokana na kuwa na majeruhi zaidi ya 700 na wengi wao wakiwa katika hali mbaya hospitalini. Ajali iliyotokea juzi juzi inahusisha gari dogo ambalo liliuwa watu sita wa familia moja papo hapo na kujeruhi wangine 22. Hata hivyo miongoni mwa majeruhi wamili walifariki walipofikishwa tu hospitali. Miongoni mwa sababu zinazopelekea ajali hizo ni mwendo kasi wa madereva na kutozingatia sheria za usalama barabarani.

Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger