Wanaume wa Umri sawa nami ni Watoto, Hawaniwezi, Afunguka Msanii wa Movie.
Msanii wa Nolly Wood ambaye ana Mvuto wa Kipekee Kiumbo na Kimapenzi, Uche Jombo, amesema ya kwamba Yeye si Mungu hivyo hana uwezo wa kuchunga hisia za Mwenza wake ingawa kwa upande wake hakuna nafasi ya usaliti.
Uche aliendelea kufunga alipokuwa akihojiwa na Television Moja kuhusu Movie yake mpya iitwayo
"Un Conditional" na kusema ya kwamba kamwe hajawahi kutembea na wavulana wadogo kuliko umri wake Pia wanaume wa umri wake anawaona kama watoto, hawana jipya.