Ngassa anaswa na Pendo la Mjanga ya Snura
Ngasa vs Snura wakiwa kwenye picha mahaba, ambapo picha hizoi zimedaiwa kuzusha balaa kwa mke wa Ngasa kiasi cha kusababisha mtafaruku mkubwa kwenye familia hiyo.


Hapa Ngasa akitaka kumla mate Snura

Mrisho Ngasa akizichezea Lips za Snura chumbani wakiwa wawili.
Mwanamuziki staa wa wimbo wa majanga Snura Mushi ameingia kwenye kashfa ya kuteteresha ndoa ya mchezaji nyota wa timu ya Yanga Mrisho Ngasa baada ya picha zao wakiwa wawili chumbani kuvuja.
Habari za uhakika zilizotua mezani kwa Kupitia XDEEJAYZ zilisema kuwa Mke wa mrisho ngasa alipandisha Presure baada ya kuona picha mumewe akiwa na mwanamuziki mwenye sifa ya kukatika pengine kuliko mwanamuziki yeyote Tanzania kwa sasa ukiacha zamani Ray C.
Hata hivyo picha hizo zilionesha zimepigwa wikiend iliyopita, hata hivyo watu wamemtahadharisha Ngasa kuhusu Snura akifanya mchezo nae anaweza kuisahau familia yake.
XDEEJAYZ