Martin Kadinda Awajia Juu wanao mchafua Wema Sepetu
Meneja wa msanii Wema Sepetu, Martin Kadinda apesha sauti yake hewani na kuwashukia wanao mzushia mrembo huyo skendo za ajabu ili kumchafua huku akisisitiza Wema hayupo kama Wanavyomdhania.
Kupia Blog yake ya Mvuto Kwanza Martini Ameandika:-
"KATIKA PITAPITA ZANGU NIMEKUTANA NA HII STORI MTANDAONI ETI WEMA SEPETU ATAPELI LAPTOP... KWELI KABISA MTU UZUSHE JAMBO KAMA HILI? TUNAKOELEKEA BASI UTASIKIA AMEMTAPELI RAISI WA NCHI.... HIVI KWANINI BINADAMU HATUWEZI KUWAONEA HURUMA BINADAMU WENZETU....
BEING MANGER WA WEMA SEPETU ITS NOT KUWA NAPATA CHOCHOTE, AM JUST THE SAME MARTIN MWENYE MAISHA YA KAWAIDA KABISA KAMA MTANZANIA MWINGINE THE ONLY THING ILINIFANYA NIFANYE KAZI NA WEMA WAS THE REALITY.
UKWELI ULIO WAZI.. WEMA NABAHATI YA KUPENDWA NA WATU SANA SANA NA NIKAGUNDUA KUNA MENGI ANAWEZA KUYAFANYA KUPITIA FAME YAKE, THATS THE REASON I MADE SURE ANASEHEMU NZURI YA KUISHI, GARI ZURI LA KUTEMBELEANA NA REALITY SHOW INAYOANZA MWISHONI MWA MWEZI AUGUST... NA KUFANYA NAE KAZI NIMEJIFUNZA MENGI.. WEMA LOVES ATTENTION, VERY MUUUUCH AND KIUKWELI ANAUMIZWA SANA NA SKENDO ZAKE MWENYEWE...
KWAKUWA ANAFANYA MENGI MAZURI LAKINI YANAYOJULIKANA NA KUUZWA NA MAGAZETI NI MABAYA AMBAYO AMEYAFANYA KUTOKANA NA JAZBA AU MAZINGIRA ALIYOPO. KWA ASILIMIA MIA MOJA NAWEZA KUSEMA WEMA HAYUPO VILE MAGAZETI YALIVYOMPOTRAY... REALITY SHOW YAKE IKIANZA MTAAMINI MANENO YANGU... BACK TO HAYO YA UTAPELI WA LAPTOP..
SIJAWAHI KUSIKIA SWALA LA KUOMBA LAPTOP KWA YOYOTE KWASABABU SIPO NAE MUDA WOTE AU MAYBE KWAKUWA NAJUA SIO MPENZI WA LAPTOP KIUKWELI... SASA LEO HII NAKUTANA NA STORI ETI AMETAPELI NA MIMI NIMEKUWA NIKIZUNGUMZA NA WAMILIKI WA LAPTOP HIYO.. WE KAKA SIJUI DADA NI LINI UMEZUNGUMZA NA MIMI SWALA LA LAPTOP HEBU MUOGOPE MUNGU WAKO BASI...
I TRULY HATE STUDIP PEOPLE WHO TAKES ADVANTAGE OF OTHER PEOPLE JUST TO MAKE THEMSELVES HAPPY.... WEMA WILL ALWAYS BE WEMA KWA WEMA WAKE NO MATTER WHAT.... U BETTER TRY HARD TO BEAT HER UP MAANA SHE AINT JOKE."
Hayo ndo yake Kadinda.