Milionea wa Ice Cream Afariki Dunia

-->
Marinos Vourderis, Alikuwa ni muhamiaji maskini kutoka nchini Ugiriki ambaye baadae alikuja kuwa milionea kutokana na biashara za Ice Cream na Barafu. Amefariki akiwa na Umri wa Miaka 97 huko nyumbani kwake Jamaica Estates, Queens.

Marinos alihamia Marekani katika miaka ya 1930 huku akiwa na Senti 50 tu mfukoni kwake na hapo alikuwa na dhamira ya kujishughulisha na shughuli za ujenzi, lakini baadae mambo yalibadilika na alijikuta katika biashara ya Ice cream na mnamo mwaka 1964 alianzisha Marinos Italian Ices, mpaka anastaafu mwaka 2002, kampuni yake ilikuwa inaiingiza $6 Milioni kwa mwaka.


Join Swahili One Community, "Like" and you will be one of us forever

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
Copyright © 2013. swahili one Blog - All Rights Reserved
Customized by: Grace Tommy The One | Powered by: BS
Designed by: Creative Blogger